Ingia / Jisajili

Mungu Wangu Mbona Umeniacha

Mtunzi: Stephen Kagama
> Mfahamu Zaidi Stephen Kagama
> Tazama Nyimbo nyingine za Stephen Kagama

Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Kwaresma | Matawi

Umepakiwa na: Stephen Kagama

Umepakuliwa mara 57 | Umetazamwa mara 152

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya Matawi

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Mungu Mungu wangu mbona umeniacha 1.Wote wanionao hunicheka sana hunifyonya wakitikisa vichwa vyao husema umtegemee Bwana na amponye na amwokoe sasa maana apendezwa naye 2.Kwa maaana mbwa wamenizunguka kusanyiko la waovu wamenisonga yamenizua mikono na miguu naweza kuhesabu mifupa yangu yote 3.Wanagawanya nguo zangu na vazi langu wanalipigia kura nawe Bwana usiwe mbali Ee Mungu wangu fanya haraka kunisaidia 4.Nitalihubiri jina lako katikati ya mataifa nitakusifu ninyi mnaomcha Bwana msifuni enyi nyote mlio wazawa wa Yakobo mtukuzeni.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa