Ingia / Jisajili

Bwana Ni Nuru Yangu

Mtunzi: F. Kyalo SJ
> Mfahamu Zaidi F. Kyalo SJ
> Tazama Nyimbo nyingine za F. Kyalo SJ

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Francis Kyalo

Umepakuliwa mara 59 | Umetazamwa mara 107

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 3 Mwaka A

Download Nota
Maneno ya wimbo
Kiitikio : {Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu} x 4 1. Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu, nimwogope nani. Bwana ni ngome yangu na uzima wangu, nimhofu nani. 2. Neno moja nimelitaka kwa Bwana, nalo ndilo nitakalolitafuta, Nikae nyumbani mwa Bwana, siku zote za maisha yangu, Niutazame uzuri wa Bwana na kutafakari hekaluni mwake. 3. Naamini ya kuwa nitauona, wema wa Bwana wema nitauona, Katika nchi ya walio hai, umngoje Bwana uwe hodari, Upige moyo konde naam umngoje Bwana.
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa