Ingia / Jisajili

Mama Maria

Mtunzi: F. Kyalo SJ
> Mfahamu Zaidi F. Kyalo SJ
> Tazama Nyimbo nyingine za F. Kyalo SJ

Makundi Nyimbo: Mama Maria

Umepakiwa na: Francis Kyalo

Umepakuliwa mara 123 | Umetazamwa mara 271

Download Nota
Maneno ya wimbo
Kiitikio : Mama Maria ni Mama mpole, mama wa Yesu na mama wa wakristu, Maria, {tunakupenda, (we) ni muombezi wetu, hizi sala zetu mama zifikishe kwa mwanao (sisi)} x2 1. Utufundishe mama kumpenda Yesu Kristu, Mama yetu Maria kimbilio letu Mama. Utuombee Mama tuwe wasafi wa moyo, Mama yetu Maria kimbilio letu Mama 2. We ni Mama wa yatima na Mama wa wajane, Mama yetu…. Tusaidie sote imani tusipoteze, Mama yetu …. 3. Kwenye safari yetu ya imani tuongozee, Mama yetu …. Majaribu na vishawishi vyote tuvishinde, Mama yetu …
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa