Mtunzi: John Mwalai
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mwalai
Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme
Umepakiwa na: Nyamasyo Maneeno
Umepakuliwa mara 901 | Umetazamwa mara 2,254
Download NotaBwana Ee Bwana nikufanye nini mimi pasipokua nikushukuru x2
Mema yote umenikalia na mambo umetenda ya ajabu sina mengine mimi pasipokua nikushukuru x2
1. Bwana nikufanye nini mimi cha kukushukuru umenitendea mambo mambo mengi ya ajabu
2. Uliniumba ajabu mwili wa viungo vingi ukanijaza akili niyajue mema na mabaya
3. Napumua hewa safi tena uhai wa bure afya njema niko nayo kwani wanikinga na mabaya
4. Siku zote wanilinda waniepusha hatari wakati wa hofu bwana ndiwe unanipa nguvu.
5. Maishani mwangu mimi nikufanye nini bwana jambo la muhimu kwangu sina budi kuja kushukuru