Mtunzi: John Mwalai
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mwalai
Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme
Umepakiwa na: Nyamasyo Maneeno
Umepakuliwa mara 1,386 | Umetazamwa mara 3,770
Download Nota Download MidiHeri heri aliyemfanya Bwana kuwa tumaini lake tumaini lake x2
Wala hakuwaelekea wenye kiburi wenye kiburi wala hakuwaelekea wenye kiburi x2
1. Heri mtu Yule asiyekwenda katika mashahuri yawasio haki
Wala mtu huyu hakusimama katika njia yao wale wakosaji
Pia hakuketi barazani mwa watu wenye mizaha tu wenye mizaha
2. Mbali sheria ya Bwana ni njema ndiyo mpendezayo kila mwanadamu
Na sheria yake uitafakari huitafakari sana mchana na usiku
Huitafakari sheria yake huitafakari sana sheria ya Bwana
3. Naye atakuwa ka ule mti, uliopandwa kando ya vijito vya maji
Ndio uzaao matunda yake, kwa majira yake kwa majira yake
Wala jani lake hali kauki, na tndo na matendo yataffanikiwa.