Mtunzi: Alcado Z . Mtanduzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Alcado Z . Mtanduzi
Makundi Nyimbo: Miito
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 552 | Umetazamwa mara 2,483
Download Nota Download MidiBwana ninakuomba niongoze kwa neema zako nitende utakavyo wewe Bwana nitende utakavyo wewe x 2:
Mashairi;
1. Ee Bwana ninakuinulia nafsi yangu, Ee Mungu wangu nimekutumainia wewe nisiaibike adui zangu wasifurahi kwa kunishinda.
2. Naam wakungojao hawata aibika wataaibika wale watendao uhaini bila sababu.
3. Ee Bwana unijulishe njia zako unifundishe mapito yako.
4. Uniongoze katika kweli yako na kunifundisha