Mtunzi: Alcado Z . Mtanduzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Alcado Z . Mtanduzi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 843 | Umetazamwa mara 3,068
Download Nota Download MidiNjoni tumwimbie Mwenyezi Mungu tumshangilie mwamba wa wokovu wetu tuingie kwake nyimbo na nyimbo za shukrani tumshangilie kwa nyimbo za sifa x 2. Maana mwenyezi Mungu ni Mungu mkuu, mfalme mkuu juu ya miungu yote.
Mashairi:
1. Dunia imo mikononi mwake mabonde na vilele vya milima
2. Bahari ni yake ndiye aliye ifanya, nchi kavu kadhalika yeye aliiumba.
3. Njoni tusujudu tumwabudu tumpigie, magoti mwenyezi Mungu mtu muumba wetu
4. Maana yeye ni Mungu wetu, yeye ndiye anayetulinda, na sisi ni kondoo wake aliyetuumba.