Mtunzi: Alcado Z . Mtanduzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Alcado Z . Mtanduzi
Makundi Nyimbo: Watakatifu
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 523 | Umetazamwa mara 4,396
Download Nota Download MidiMtakatifu Gemma Galgan, Msimamizi wa jimbo letu, akiwa bado msichana mdogo akawa kwenye mapambano mazito ya kiroho, akaweza kudhihirisha imani yake kwa Mungu Baba.
Mashairi:
1. Alimpenda Yesu mwokozi kuliko kitu chochote ulimwenguni.
2. Akataka kushiriki ana naye katika mateso yake halisi.
3. Alitafakari jinsi alivyoteseka hata kufa kwa ajili yetu.