Ingia / Jisajili

Ee Bwana Uwape Amani No 2

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 7 | Umetazamwa mara 3

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 24 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 24 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 24 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
EE BWANA UWAPE AMANI WAKUNGOJAO.ILI WATU WAWA SADIKI MANABII WAKO X 2 ( USIKILIZE SALA YAO WAKUOMBAO.NA YATAIFA LAKO lSRAELI X2 Fine.(1) Usikilize sala yao wakuombao. Na ya taifa lako lsraeli.(2) Na wote wa kaao duniani .watajua Kwamba Wewe ndiwe Bwana.(3)EE Bwana uwarehemu watu wako. Naisraeli mzaliwa wa kwanza wako.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa