Ingia / Jisajili

Ee Bwana Ulimwengu Wote

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 452 | Umetazamwa mara 1,467

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Bwana ulimwengu wote .Ukatika uwezo wake x2 Wala hakuna awezaye kukupinga mapenzi yako.na Wala hakuna awezaye kukupinga mapenzi yakox2(1) WEWE umeviumba mbingu na nchi.na vitu vyote vya ajabu vilivyopo chino ya mbingu.nawe ndiwe Bwana wa vyote.(2) Mungu mwenyezi wa mile Le unatujalia. Kwa wema wake mkuu mema mengi kupita Yale tunayo omba .na kutamani .(3).Utushushie uruma YAKO. Utusamehe makosa yanayo letea hofu ya moyoni.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa