Ingia / Jisajili

BWANA NINURU YANGU

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 371 | Umetazamwa mara 1,054

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana NI nuru yangu NI mwogope Nani nimwogope Nani x2 Bwana ningome yauzima wangu nimhofu Nani x2 fine.(1)Watesi wangu na adui zangu waliji kwaa waka aguka Ee mwenyezi Mungu ndiye mwanga wangu na mwokozi wangu (2) Mwenyezi Mungu ndiye mwanga wangu na mwokozi wangu NI mwogope Nani mwenyezi Mungu NI mlinzi wamaisha yangu.(3)Watu wabaya wakinivamia na kutaka kuni uwa wait wenyewe wataji kwaa na kuanguka.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa