Ingia / Jisajili

MASIKINI HUYU ALIITA

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 138 | Umetazamwa mara 452

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 30 Mwaka C
- Katikati Dominika ya 4 ya Kwaresma Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
MASIKINI HUYU ALIITA NAE BWANA AKASIKIA(KWELI) MASIKINI HUYU ALIITA NAE BWANA AKASIKIA(kweli)X2(BWANA AKASIKIA.mwisho (1)Nitmuhimidi Bwana kila wakati.sifazake ziki nywani mwangu daima .katika Bwana nafsi yangu itajisifu.wanyenye kevu wasikie wakafurahi.(2)Uso wa Bwana NI Juu ya watendao mabaya ili aliondoe kumbu kumbu la o duniani .walilia naye Bwana akasikia akawa ponya na taabu zao zote.(3)Bwana Yukaribu nao walio vunjika moyo na walio pondeka roho huwa okoa Bwana huzi komboa nafsi zawa tumishi wake.wala hawata hukumiwa WOTE wamkimbiliao.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa