Ingia / Jisajili

Kikondoo Cha Mungu

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 17,361 | Umetazamwa mara 27,266

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kikondo cha mungu mkate wa mbinguni mlishi wa roho yangu nakuabudu

  1. U babangu mwema na msimamizi, mpaji wa uzima wangu mwokozi.
     
  2. Fumbo abudiwa nakuamini kaza yesu mpendwa yangu imani.
     
  3. Mtoa roho yangu hostia nzima, niwie ya mbingu kweli amana.
     
  4. Ee Rabbi mtu Mungu uniridhishe, njoo shuka kwangu kanishibishe.
     
  5. Anakaribia mpenzi amini hata aingia mwangu moyoni.

Maoni - Toa Maoni

aidan Nov 08, 2018
kazi nzuri

VICENTINA EMMANUEL NGANDU Jan 04, 2018
Wimbo huyu we tafakari unanibariki sanaaa

BALTAZARY MLINGI Jun 19, 2017
nzuri

Prince CUBAKA Ermès Sep 26, 2016
Nawashukuru kwaku fanya hii atua ya web site ya nyimbo za swahili. Mubarikiwe

Toa Maoni yako hapa