Ingia / Jisajili

Bwana Unihifadhi Mimi

Mtunzi: Vincent .H. Mulindi
> Mfahamu Zaidi Vincent .H. Mulindi
> Tazama Nyimbo nyingine za Vincent .H. Mulindi

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Zaburi

Umepakiwa na: Vincent Hewas Mulindi

Umepakuliwa mara 294 | Umetazamwa mara 729

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana unihifadhi mimi kwa maana nakukimbilia wewe Ndiwe bwana wangu na ngome yangu (Ndiwe bwana wangu na ngome yangu).X2 1.Ee bwana ndiwe fungu la posho langu na lakikombe changu wewe unaishika kura yangu ee bwana ee bwana. 2.Nime mwaka bwana mbele yangu daima kwa kuwa yuko kuumeni kwangu sitaondoshwa kwako bwana ee bwana ee bwana, 3.Utanijulisha njia ya uzima,mbele za uso wako ziko furaha tele bwana siku zote ee bwana ee bwana, 4.Unifungulie mlango wa uwinguni na nije kwako nistarehe kwako kuna starehe tele tele ee bwana ee bwana
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa