Ingia / Jisajili

Mama Yetu Maria

Mtunzi: Vincent .H. Mulindi
> Mfahamu Zaidi Vincent .H. Mulindi
> Tazama Nyimbo nyingine za Vincent .H. Mulindi

Makundi Nyimbo: Mama Maria

Umepakiwa na: Vincent Hewas Mulindi

Umepakuliwa mara 167 | Umetazamwa mara 497

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Mama yetu maria sala zetu tunaleta kwako utuombee kwa mwanao yesu kristu. 1.Mama mwenye huruma-utuombee kwa yesu Mama mwenye moyo safi-utuombee kwa yesu 2.Mama malkia wa mbingu-utuombee kwa yesu Mama wa mkombozi -utuombee kwa yesu 3.Tunaposongwa na shida -utuombee kwa yesu Tupate kitulizo -Utuombee kwa yesu 4.Malkia wa familia-utuombee kwa yesu Malkia wa amani -utuombee kwa yesu 5.Utukinge na maovu-utuombee kwa yesu Sisi tunaposafiri-utuombee kwa yesu 6.Utuepushe na dhambi-Utuombee kwa yesu Tupate neema za mbingu-Utuombee kwa yesu
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa