Ingia / Jisajili

Mama Mwenye Heri Utuombee

Mtunzi: Vincent .H. Mulindi
> Mfahamu Zaidi Vincent .H. Mulindi
> Tazama Nyimbo nyingine za Vincent .H. Mulindi

Makundi Nyimbo: Mama Maria

Umepakiwa na: Vincent Hewas Mulindi

Umepakuliwa mara 116 | Umetazamwa mara 409

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Mama maria mama yetu mama wa yesu, Mama mwenye heri mama utuombee. 1.Mama mwenye neema mama wa mkombozi-Mama mwenye heri mama utuombee. 2.Mama mwenye huruma mama mwenye upole-Mama mwenye heri mama utuombee. 3.Mama kioo cha haki mama mwenye ukweli-Mama mwenye heri mama utuombee. 4.Mama mlango wa mbingu Njia ya uwinguni-Mama mwenye heri mama utuombee. 5.Msaada wa ma yatima mama mwenye baraka-Mama mwenye heri mama utuombee. 6.Mama mwenye furaha,chanzo cha ukombozi-Mama mwenye heri mama utuombee. 7.Malkia wa mitume malkia wa amani -Mama mwenye heri mama utuombee
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa