Ingia / Jisajili

Bwana Utuinulie Nuru

Mtunzi: Yudathadei Chitopela
> Mfahamu Zaidi Yudathadei Chitopela
> Tazama Nyimbo nyingine za Yudathadei Chitopela

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Vusile Silonda

Umepakuliwa mara 1,705 | Umetazamwa mara 4,094

Download Nota
Maneno ya wimbo

 Bwana utuinulie nuru ya uso wako x 2 Aleluya Aleluya x 2

          (Tenor & Bass)

  1. Ee Mungu wa haki yangu, uniitikie niitapo umenifanyizia nafasi wakati wakati wa shida (unifadhili na kuisikia sala yangu) x 2

    (Soprano)
  2. Bali jueni ya kuwa Bwana amejiteulia mtauwa Bwana atasikia nimwitapo. 

    (Alto)
  3. Wengi usema nani atakayetuonyesha mema? Bwana utuinulie nuru nuru ya uso wako


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa