Ingia / Jisajili

BWANA YU KARIBU NA WOTE

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 674 | Umetazamwa mara 1,816

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
BWANA YUKARIBU NA WOTE (watuwote)WA MUHITAO (kweli)BWANA YUKARIBU NA WOTE(Bwana)WA MUHITAOx2fine(1)Kila siku Nita kuhimidi EE Bwana nitalisifu jina lako milele nami lele(2)Bwana na ndiye mkuu mwenye kusifiwa Sana wala ukuu wake hautambuli kani.(3)Bwana anafa dhili ni meingi was huruma simwepesi was hasira ni mwingi wa Rehema.(4)Bwana NI mwema kwa watu wore narehema zake zi juu ya kazi zake zote.(5)Bwana NI mwenye haki katika jiazake zote na mwenye fadhili juu ya kazi zake zote.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa