Ingia / Jisajili

Bwana Yu Karibu

Mtunzi: Beatus M. Idama
> Tazama Nyimbo nyingine za Beatus M. Idama

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Beatus Idama

Umepakuliwa mara 1,450 | Umetazamwa mara 4,363

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

BWANA YU KARIBU

//:Bwana yu karibu nao wote wamwitao
Bwana yu karibu na wote wamwitao
Bwana yu karibu na wote wamwitao://

1. Kila siku nitakuhimidi nitalisifu jina lako milele na milele, Bwana ndiye mkuu, mwenye kusifiwa sana wala ukuu wake, ukuu wake hautambulikani.

2. Bwana ana fadhli na ni mwingi wa huruma, si mwepesi wa hasira, ni mwingi wa rehema, Bwana ni mwema, ni mwema kwa watu wote, na rehema zake, rehema zake zi juu ya kazi zake.

3. Bwana ni mwenye haki katika njia zake zote na mwenye fadhili juu ya kazi zake zote, Bwana yu karibu na wote wamwitao, wote wamwitao Bwana kwa ukamilifu.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa