Ingia / Jisajili

Chakula Nitakachotoa Mimi

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 212 | Umetazamwa mara 374

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 19 Mwaka A
- Antifona / Komunio Dominika ya 19 Mwaka B
- Antifona / Komunio Dominika ya 19 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Chakula nitakachotoa mimi ni mwili wangu ni mwili wangu kwa ajili ya uzima uzima wa ulimwengu asema Bwana X2

1. Mimi ndimi chakula chakula chenye uzima kilichoshuka kutoka mbinguni mtu akila chakula hiki ataishi milele

2. Amin nawaambieni msipoula mwili wake mwili wake mwana wa Adamu na kuinywa damu yake hamna uzima ndani yenu

3. Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu anao uzima wa milele nami nitamfufua nitamfufua siku ya mwisho

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa