Ingia / Jisajili

Ametutendea Makuu

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Shukrani

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 181 | Umetazamwa mara 221

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Mimi na nyumba yangu tutamtumikia Bwana kwa maana ametutendea makuu X2

Ametutendea mema mengi yasiyo na idadi ametujalia neema nyingi na baraka tele anatulinda siku zote ametutendea makuu X2

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa