Ingia / Jisajili

Ulete Mkono Wako

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Pasaka

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 142 | Umetazamwa mara 194

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 2 ya Pasaka Mwaka A
- Antifona / Komunio Dominika ya 2 ya Pasaka Mwaka B
- Antifona / Komunio Dominika ya 2 ya Pasaka Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ulete mkono wako uutie ubavuni mwangu wala usiye asiyeamini bali aaminiye aleluya X2

1. Tomaso akamjibu akamwambia Bwana wangu na Mungu wangu

2. Yesu akamwambia wewe kwa kuwa umeniona umesadiki wa heri wale wasioona wakasadiki

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa