Mtunzi: S. D. Masanja
> Tazama Nyimbo nyingine za S. D. Masanja
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: Ludovick Michael
Umepakuliwa mara 780 | Umetazamwa mara 2,376
Download Nota Download MidiCHANGAMKENI NYOTE NO. 2
Basi (changamkeni mkaviinue vichwa vyenu kwa kuwa ukombozi wetu umekaribua) x2
(Jiangalieni mioyo yenu isijeikaelemewa na ulafi na ulevi, na masumbufu ya maisha maisha haya) x2
1. Basi kesheni kila wakati wakati, mkiomba ili mpate kuokoka, katika hayo hayo yote.
2. Mungu mwaminifu katika ahadi zake zote, tusiwe na mashaka Mungu ataleta mkombozi, atakakayeleta amani.
3. Natuutupilie mbali, kweli uovu wetu, tukajitwalie silaha zile za mwanga, tumpige nazo shetani.