Ingia / Jisajili

CORONA COVID-19

Mtunzi: Stephen Wambua Mutua
> Mfahamu Zaidi Stephen Wambua Mutua
> Tazama Nyimbo nyingine za Stephen Wambua Mutua

Makundi Nyimbo: Mwaka wa Huruma ya Mungu | Tenzi za Kiswahili

Umepakiwa na: Stephen Wambua Mutua

Umepakuliwa mara 282 | Umetazamwa mara 1,063

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
CORONA ILE COVID 19 (Key E flat) Chorus (Ewe Mungu Mwenyezi, tunakuomba tunakuomba utuondolee uondoe corona) x2 1. Shughuli mbali mbali, zimesimama kanisa hatuendi juu ya corona 2. Kazini na shuleni, hakuendeki corona ni hatari tukae nyumbani 3. Uchumi duniani, wazoroteka sababu ya corona Bwana tuokoe 4. Corona kweli kweli, haibagui wote waa thirika mataifa yote 5. Mikono tuna nawa, juu ya corona hata ingawa sisi hatujazoea 6. Undugu umerudi, juu ya corona tajiri masikini sasa kitu moja 7. Ewe Bwana Yesu, ulishinda kifo magonjwa mbali mbali corona si kitu 8. Ewe Mungu Mwenyezi, mwenye huruma kama tumekosea Baba tusamehe

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa