Ingia / Jisajili

TUNALETA SADAKA

Mtunzi: Stephen Wambua Mutua
> Mfahamu Zaidi Stephen Wambua Mutua
> Tazama Nyimbo nyingine za Stephen Wambua Mutua

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Stephen Wambua Mutua

Umepakuliwa mara 804 | Umetazamwa mara 2,491

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
TUNALETA SADAKA (Key F) Chorus (S/A Tunaleta sadaka) All tunaleta sadaka kwake Muumba wetu tupate baraka zake. (S/A Ingawa ni kidogo) All Baba yetu pokea zibariki ee Baba sala zetu pokee, pokea pokea kazi ya mikono yetu twaleta Baba twaomba uipokee, we Asa osa nthembo nthembo ya syana syaku 1.Zawadi zetu Baba twaomba uzipokee ulizotujalia kweli sisi wana wako 2.Mkate na divai Baba yetu upokee baraka zako Bwana Baba utumiminie 3.Na nyoyo zetu nazo kweli ni mali yako uzipokee Baba Bwana uzipokee 4.Na fedha tutoazo kazi ya mikono yetu uzibariki Baba na utupe afya njema 5.Sala tunazotoa Baba uzisikilize tunakusihi Baba Bwana mwema zipokee

Maoni - Toa Maoni

Anthony Ashiundu Oct 12, 2022
Pongezi

Toa Maoni yako hapa