Ingia / Jisajili

MPIGIENI MUNGU KELELE ZA SHANGWE

Mtunzi: Stephen Wambua Mutua
> Mfahamu Zaidi Stephen Wambua Mutua
> Tazama Nyimbo nyingine za Stephen Wambua Mutua

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Zaburi

Umepakiwa na: Stephen Wambua Mutua

Umepakuliwa mara 429 | Umetazamwa mara 1,429

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
MPIGIENI MUNGU KELELE ZA SHANGWE (Zaburi: 66) (Key E#) Chorus Mpigieni Bwana Mungu (kelele) kelele za shangwe (shangwe) nchi yote imbeni utukufu wa Jina Lake (pigeni), Mpigieni Bwana Mungu (kelele) kelele za shangwe (shangwe) nchi yote tukuzeni tukuzeni sifa zake 1. Mwimbieni Mungu (jinsi) jinsi gani Bwana (matendo) matendo yako yanatisha kama nini 2. Kwa ukubwa Bwana (wa) nguvu zako (Bwana) maadui wanajinyenyekeza kwako 3. Enyi Mataifa (taifa) tukuzeni Mungu (wetu) itangazeni sauti ya sifa zake

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa