Mtunzi: Alvin Marie
> Mfahamu Zaidi Alvin Marie
> Tazama Nyimbo nyingine za Alvin Marie
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Alvin Marie
Umepakuliwa mara 228 | Umetazamwa mara 332
Download Nota Download MidiSadaka yangu ifanyike mbele zako bwana, na iwe dhabihu safi mbele yako. Ipae juu uwinguni na moshi wa ubani, izisindikize sala zetu bwana. Ikupendeze, uipokee, iwe kwetu ni fumbo la wokovu.