Ingia / Jisajili

Dhambi Zangu Zimenitenga Nawe.

Mtunzi: Majaliwa S. Naftari
> Mfahamu Zaidi Majaliwa S. Naftari
> Tazama Nyimbo nyingine za Majaliwa S. Naftari

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mafundisho / Tafakari | Mazishi

Umepakiwa na: MAJALIWA NAFTARI

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Download Nota
Maneno ya wimbo

Dhambi zangu zimenitenga nawe, zimeniweka Gizani mbali nawe, nakunitenganisha na Jirani zangu, Zimenielemea, sina pakuficha uso wangu, Mungu wangu nisaidie. 


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa