Ingia / Jisajili

Vijana Tuna Wajibu Mkubwa

Mtunzi: Majaliwa S. Naftari
> Mfahamu Zaidi Majaliwa S. Naftari
> Tazama Nyimbo nyingine za Majaliwa S. Naftari

Makundi Nyimbo: Anthem | Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: MAJALIWA NAFTARI

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Sisi ni vijana tunawajibu mkubwa katika kanisa, katika kulijenga kanisa la mungu, kwakuwa sisi ni kanisa la kesho na la baadaye, basi tuoneshe umakini wetu wa kutoa sadaka, pia zaka na michango mbalimbali ya kulitengeneza kanisa ukiwemo ujenzi wa kanisa letu.

  1. Kijana mtumikie bwana siku zote za ujana wako, zitumie nguvu zako kwa kutenda matakatifu
  2. Kijana tambua yakwamba wewe ni nguzo, nguzo ya kanisa, kanisa bila vijana haliwezi kuendelea. 
  3. Vijana tupende kusali na kuliombea kanisa, tumwombe mwenyezi Mungu atusaidie daima. 
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa