Mtunzi: Majaliwa S. Naftari
> Mfahamu Zaidi Majaliwa S. Naftari
> Tazama Nyimbo nyingine za Majaliwa S. Naftari
Makundi Nyimbo: Majilio | Mwanzo
Umepakiwa na: MAJALIWA NAFTARI
Umepakuliwa mara 15 | Umetazamwa mara 26
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 3 ya Majilio Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 3 ya Majilio Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 3 ya Majilio Mwaka C
Furahini katika bwana siku zote Tena nasema furahini bwana yu karibu. Upole wenu na ujulikane kwa watu wote bwana yu karibu. Msijisumbue kwa neno lolote ila Kwa kila neno haja zenu zijulikane kwa Mungu.