Mtunzi: Gervas M. Kombo
> Mfahamu Zaidi Gervas M. Kombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Gervas M. Kombo
Makundi Nyimbo: Majilio
Umepakiwa na: Gervas Kombo
Umepakuliwa mara 2,988 | Umetazamwa mara 5,994
Download Nota Download MidiDONDOKENI ENYI MBINGU
Dondokeni enyi mbingu toka juu,
na mawingu yammwage mwenye haki,
nchi ifunuke kumtoa mwokozi nchi ifunuke kumtoa mwokozi x2
1. Mimi nitakutangulia na kuisawazisha milima mbele yako
2. Nitaivunja milango ya shaba na kuvikatakata vizuizi vyake vya chuma