Mtunzi: Gervas M. Kombo
> Mfahamu Zaidi Gervas M. Kombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Gervas M. Kombo
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Gervas Kombo
Umepakuliwa mara 1,507 | Umetazamwa mara 3,852
Download Nota Download MidiUFURAHI MOYO WAO
Ufurahi moyo wao wamtafutao Bwa-na (mtakeni Bwana na nguvu zake utafuteni uso wake
utafuteni uso wake siku zote)x2.
1. Zikumbukeni ajabu- zake alizozifanya miujiza yake na hukumu za kinywa chake
2. Enyi wazao wa Ibrahimu mtumishi wake enyi wana wa Yakobo wateule wake.
3. Yeye Bwana ndiye Mungu- wetu ndiye Mungu wetu duniani mwote mna hukumu zake.