Mtunzi: Gervas M. Kombo
> Mfahamu Zaidi Gervas M. Kombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Gervas M. Kombo
Makundi Nyimbo: Mazishi
Umepakiwa na: Gervas Kombo
Umepakuliwa mara 3,683 | Umetazamwa mara 10,494
Download Nota Download MidiG.M.KOMBO
ST. JOSEPH MWENGE
14.6.2004
Nimevipiga vita vilivyo vizuri mwendo nimeumaliza imani nimeilinda.
1. Baada ya hayo nimewekwa taji, taji la haki
2. Ambayo Bwana Mungu humuhukumu mwenye haki
3. Atanipa siku ile wala siyo siyo mimi tu
4. Bali watu wote walopenda kufunuliwa kwao.