Ingia / Jisajili

E Mama Yangu

Mtunzi: Mwesswa matenda dieudonne
> Mfahamu Zaidi Mwesswa matenda dieudonne
> Tazama Nyimbo nyingine za Mwesswa matenda dieudonne

Makundi Nyimbo: Anthem | Mafundisho / Tafakari | Mwaka Mpya | Mwaka wa Familia (2014) | Tenzi za Kiswahili

Umepakiwa na: Mwesswa matenda Dieudonne

Umepakuliwa mara 71 | Umetazamwa mara 121

Download Nota
Maneno ya wimbo
E mama yangu Nina kupenda Wa ndugu zangu Nina wapenda Nawa penda wote E baba yangu Nina kupenda Rafiki zangu Nina wapenda Nawa penda wote, Mapenda ulio nifundisha Mama, Mapendo mulio nionyesha Wandugu Nina washukuru Nashukuru mungu Alie niweka katika Familia hiyo Kwa umoja tunao wote Mkono kushikamana Kwa nyakati zote Kusameheyana Akuna ku tengana E mama yangu Umenifunza mengi Umenipenda tangu Tumboni wewe Kwasababu nakutana Wadada wengi Wame tosha mimba Kabla mutoto ajazaliwa Ila wewe mama Umeitika kuteswa Ili mimi nizaliwe Nina kushukuru

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa