Mtunzi: Himery Msigwa
> Mfahamu Zaidi Himery Msigwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Himery Msigwa
Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 1,635 | Umetazamwa mara 4,243
Download Nota Download MidiKIITIKIO
E Mungu ngao yetu uangalie umtazame uso Kristo wako x 2
MASHAIRI
1.Hakika siku moja katika nyua zako ni bora kuliko siku elfu.
2. Kwakuwa Bwana Mungu ni jua na ngano Bwana atatoa neema na utukufu.