Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura
Makundi Nyimbo: Kupaa kwa Bwana
Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura
Umepakuliwa mara 2 | Umetazamwa mara 0
Download NotaEE BABA MIKONONI MWAKO
Ee Baba, (mikononi mwako mwako, naiweka roho yangu)x2
1. Nimekukimbilia wewe Bwana, nisiaibike milele / Kwa haki yako uniponye, mikononi mwako naiweka roho yangu /
Umenikomboa Ee Bwana Mungu wa kweli