Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura
Makundi Nyimbo: Watakatifu
Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiALELUYA ENENDENI
Aleluya, aleluya, aleluya aleluya aleluya x2
1. Enendeni mkawafanye mataifa yote, kuwa wanafunzi, Bwana asema; Mimi nipo pamoja nanyi siku zote
hata ukamilifu wa dahari, Aleluya