Ingia / Jisajili

EE BABA MIKONONI MWAKO NAIWEKA ROHO YANGU

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 46 | Umetazamwa mara 333

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
EE Baba MIKONONI MWAKO NAIWEKA ROHO YANGU EE BABA MIKONONI MWAKO NAIWEKA ROHO YANGU X 2.(1).Nimekukimbilia wewe Bwana nisiaibike milele kwa haki yako uniponye uniokoe.(2)Kwa sababu yao watesi WANGU ninekuwa la a umu kwao jirani nakitusho na kitisho kwa marafiki.(3).Nime sahauliwa kamamfu nimekuwa Kama chombo chombo kilicho vunjika hofu za ni zunguka kote.(4).Lakini na kutumaini Bwana nimesema ndiwe mungu wantuniponye namaadui wanifua tao.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa