Ingia / Jisajili

Ulimi Wangu Naugandamane

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 12 | Umetazamwa mara 30

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 4 ya Kwaresma Mwaka B

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
ULIMI wangu naugandamane na kaaka lakinywa change nisipo kukumbuka X2 .(1).Kando ya mito ya are Babeli ndiko tulikoketi.tukalia tulipoikumbuka sayuni.katika miti iliyo katikati yake tulivitundika vinubi vyetu.(2).Maana huko waliotuchukua mateka walitaka tuwaimbie ;Na waliotuonea walitaka furaha;Tuimbieni baadhi ya nyimbo za sayuni.(3).Tuuimbeje wimbo was BWANA KATIKA ndhi ya ugeni?EE yerusalemu. Nikikusahau wrwe.Mkono wangu wa kuume na usahau.(4). Ulimwengu na ugandamane na kaakaa la kinywa change.nisipokuku.buka.nisiopoikuza yerusalemu zaidi ya furaha yangu iliyo kuu .

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa