Ingia / Jisajili

Bwana Yesu Amezaliwa Betrehemu Pangoni

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Noeli

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 480 | Umetazamwa mara 2,172

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana yesu amezaliwa BETHleHEMU pangoni. Hakika tumshangilue amelala pangoni .ona anavyo ng.ara kwenyezizi la ng.ombe.amezaliwa KWELI mkombozi wa ulimwengu amekuja kutuletea wo_kovu.ni Mtoto mpole na mnyeyekevu wa moyo amekuja kwetu sisi kutukomboa (1).Amelazwa Bwana nyasini katika zizila ng.ombe mkombozi wa ulimwengu amezaliwa.(2).Hakika natufanyeshangwe twimbe twimbe aleluya Kwa sababu Bwana yesu amezaliwa.(3).Asante mama maria Kwa kutuzalia mkombozi.kazaliwa kwetu sisi iliatu komboe.(4).Twendeni ndugu wa amino pangoni _ BETHleHEMU tuka mwabudu Mtoto mle Pangoni.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa