Mtunzi: Patrick Konkothewa
> Mfahamu Zaidi Patrick Konkothewa
> Tazama Nyimbo nyingine za Patrick Konkothewa
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 1,535 | Umetazamwa mara 4,440
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 5 Mwaka C
Njoni tuabudu, Njoni tusujudu, tupige magoti mbele za Bwana Mungu aliye tuumba x 2.
Mashairi:
1. Kwa maana ndiye Mungu wetu / na sisi tu watu wa malisho yake na kondoo za mkono wake.
2. Njoni tumwimbie Bwana Mungu / tumfanyie shangwe mwamba wa wokovu wetu wa wokovu wetu.
3. Tuje mbele zake kwa shukrani / tuje mbele zake kwa shukrani tumfanyie shangwe shangwe kwa zaburi.