Ingia / Jisajili

Ee Baba, Vipaji Twakutolea

Mtunzi: Sylvester Cyril Omallah
> Mfahamu Zaidi Sylvester Cyril Omallah
> Tazama Nyimbo nyingine za Sylvester Cyril Omallah

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo | Shukrani

Umepakiwa na: Frt. Sylvester Omallah

Umepakuliwa mara 147 | Umetazamwa mara 565

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
EE BABA, VIPAJI TWAKUTOLEA CS. Omallah Ee Baba, vipaji twakutolea – ni shukrani za wanao (twaomba) uvipokee ee Baba, na sisi utubariki x2 1. Mkate, divai ndiyo mazao tunayoyaleta kwako, twakuomba Baba uyapoke na uyabarikie. 2. Mali zetu zote tulizopata, twazileta kwako Baba, twakuomba Baba uzipokee na uzibarikie. 3. Na sisi wenyewe umetuumba tukutumikie Baba, nyoyo zetu uzitakase Baba na uzibarikie.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa