Ingia / Jisajili

Nimewapa Mfano

Mtunzi: Sylvester Cyril Omallah
> Mfahamu Zaidi Sylvester Cyril Omallah
> Tazama Nyimbo nyingine za Sylvester Cyril Omallah

Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Kwaresma | Mafundisho / Tafakari | Miito

Umepakiwa na: Frt. Sylvester Omallah

Umepakuliwa mara 34 | Umetazamwa mara 133

Download Nota
Maneno ya wimbo

Nimewapa mfano wa utii na unyenyekevu, watumikieni watu wangu x2 Nimewaosha miguu kama ishara ya upendo, hivyo nanyi kwa upendo fanyeni vivyo hivyo.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa