Mtunzi: Traditional
> Tazama Nyimbo nyingine za Traditional
Makundi Nyimbo: Mama Maria
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 4,840 | Umetazamwa mara 9,560
Download Nota Download Midi1. Ee Bikira Mwezaji, Ave Maria, msikilize mwombaji, Ave Maria
Tafadhali nifadhili, na ujima, ee Mama Mwema, Ave, Ave, Ave Maria x 2
2. Duniani daima, Ave Maria, Dhoruba zinavuma, Ave Maria
3. Kwa utoto dhaifu, Ave Maria Ukingie unyofu, Ave Maria
4. Ulinde waujana, Ave Maria Uzuri na heshima, Ave Maria
5. Uwe mfariji wao, Ave Maria Wachee watu wao, Ave Maria
6. Nyota miamba wao, Ave Maria Ya wenye wateswao, Ave Maria