Ingia / Jisajili

Ee Rafiki Yangu

Mtunzi: Traditional
> Tazama Nyimbo nyingine za Traditional

Makundi Nyimbo: Tenzi za Kiswahili

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 441 | Umetazamwa mara 676

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Rafiki yangu Bwana Yesu tegemeo langu la milele siku zote za maisha yangu wewe nami tuungane

1. Bwana Yesu katika shida zangu tumaini langu ni wewe, siku zote...

2. Bwana Yesu katika unyonge wangu kitulizo changu ni wewe, siku zote...

3. Bwana Yesu katika furaha yangu nitafurahi pamoja nawe, siku zote...

4. Bwana Yesu katika ujana wangu kiongozi wangu ni wewe, siku zote...

5. Bwana Yesu leo ni siku yangu ya kuishi pamoja na wewe, siku zote...

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa