Mtunzi: Bategereza
> Tazama Nyimbo nyingine za Bategereza
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 1,996 | Umetazamwa mara 4,721
Download Nota Download MidiEe Bwana fadhili zako/ fadhili zako ni za milele usiziache kazi za mikono yako x 2.
Mashairi:
1. Nitakushukuru kwa moyo wangu wote mbele ya miungu nitakuimbia zaburi/ Nitasujudu nikilikabili hekalu lako hekalu takatifu x 2.
2. Nitalishukuru jina jina lako kwa ajili ya fadhili na uaminifu wako/ Kwa maana umeikuza ahadi yako kuliko jina lako.
3. Ingawa Bwana yuko juu lakini ana mwona mnyenyekevu/ Naye amjua mwenye kujivuna mwenye kujivuna tokea mbali x 2.