Mtunzi: Bategereza
> Tazama Nyimbo nyingine za Bategereza
Makundi Nyimbo: Misa
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 765 | Umetazamwa mara 2,973
Download Nota Download MidiMageuzo:
Huo ndio mwili wake Kristu, Tuuabudu na tuuheshimu, Hiyo ndiyo damu yake Kristu, Tuiabudu tuiheshimu.
Fumbo la Imani.
Tutangaze fumbo la Imani, Ee Bwana tunatangaza kifo chako na kutukuza ufufuko wako mpaka hapo utakakuja x 2.