Ingia / Jisajili

Ee Bwana Mungu Wangu Nafsi Yangu Inakuonea Kiu

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 142 | Umetazamwa mara 269

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 22 Mwaka A

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
EE BWANA MUNGU WANGU (MUNGU WANGU)EE BWANA MUNGU WANGU NAFSI YANGU INAKUONEA KIU(NAFSi YANGU) KiU X2. (1).Ee Mungu Mungu wangu . Nitakutafuta mapema. Nafsi yangu INAKUONEA KIU . Mwili wangu wakuonea shauku. Katika nchi kame na chovu. Isiyo na maki. (2).Ndivyo nilivyo kutazama katika patakatifu . Nizione Nguvu zako na utukufu wako. Maana fadhili zako ni njema kuliko uhai. Midomo yangu itakusifu.(3).Ndivyo nitakavyo kubariki maadamu ni hai. Kwajina lako nitaiinua mikono yangu. Nafsi yangu itakinai kama kushiba mafuta na vinono. Kinywa changu kitakusifu Kwa midomo ya furaha. (4).Maana wewe umekuwa msaada wangu. Nauvuli mwa mbawa zakonitashangilia . Nafsi yangu imekuandama sana.Mkono wako WA kuume unani tegemeza.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa