Mtunzi: Fr. Amadeus Kauki
> Tazama Nyimbo nyingine za Fr. Amadeus Kauki
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Gervas Kombo
Umepakuliwa mara 9,013 | Umetazamwa mara 15,941
Download Nota Download MidiEe Bwana Mungu wetu utuokoe, utukusanye kwa kututoa katika mataifa, tulishukuru jina lako takatifu, tuzifanyie shangwe shangwe sifa zako x 2
1. Asifiwe Mungu wetu, asotuacha kamwe katika makucha yao, watesi wetu nao wale wote wanao tukandamiza.
2. Msifuni Mwenyezi Mungu, kwa kuwa yeye ni mwema nazo fadhili zake, ni za milele na uaminifu wake wadumu milele.
3. Ni nani anayeweza, kumsifu Mwenyezi Mungu kama astahilivyo, na kutaja matendo ya Mwenyezi Mungu kwani ni makuu.