Mtunzi: Fr. Amadeus Kauki
> Tazama Nyimbo nyingine za Fr. Amadeus Kauki
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Gervas Kombo
Umepakuliwa mara 4,679 | Umetazamwa mara 9,873
Download Nota Download MidiKikombe kile cha Baraka tukibarikicho je si ushirika wa damu damu ya Kristu x2
1. Nimrudishie Bwana nini kwa ukarimu wake alionitendea alionitendea
2. Nitakipokea kikombe cha wokovu na kulitangaza jina la Bwana jina la Bwana
3. Ee Bwana hakika mimi mtumishi wako mwana mjakazi wako umevifungua vifungo vyangu
4. Nitakutolea dhabihu ya shukrani nakulitangaza jina la Bwana jina la Bwana